April 15, 2019


Ofisa Habari wa klabu ya Simba amewaomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kucheza mechi ya kirafiki baina yao na Yanga wiki ijayo ili walau kutoa pongezi kwa Taifa Stars baada ya kufuzu kushiriki mashindano ya AFCON mwaka huu.

Aidha, Manara amesema mapato yatayopatikana yapelekwe kwa watani zao wa jadi Yanga kama mchango kutokana na harambee inayoendelea hivi sasa.


2 COMMENTS:

  1. Jamani huo ni mtihani na mtego hatari. Hebu tuone nini watachoamuwa Yanga. Watazisamehe hela au watakubali ili kujizolea mamilioni ambayo Zahera anayahitaji.

    ReplyDelete
  2. Mimi kama mshabiki na mwanachama wa tanga sitaki hio mechi huwezi linganisha mbingu na Arithi.sitaki pressure kapambaneni na timu kubwa sisi bado

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic