Timu ya Gor Mahia ya Kenya imeondoshwa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kukubali kichapo cha mabao 5-1 dhidi ya RSB Berkane ya Morocco.
Gor Mahia wamekubali kichapo cha pili mfululizo baada ya mechi ya awali iliyofanyika Nairobi kumalizika kwa kufungwa mabao 2-0.
0 COMMENTS:
Post a Comment