INASIKITISHA, UKATA WAIANDAMA GOR MAHIA, WACHEZAJI WALALA CHINI YA VITI AIRPORT QATAR
Baada ya hivi majuzi kutokea dalili za mgomo kwa wachezaji wa Gor Mahia wakidai mishahara, usiku huu wachezaji hao wameonekana wakiwa wamelala uwanja wa ndege wa Qatar wakisubiri ndege ya kuwapeleka Morocco kwenye mechi ya marudio. Ikumbukwe klabu hiyo inasakamwa na ukata mkubwa chini ya uongozi wa Ambrose Rachier.
hawa hamsaa inawahusu masikin
ReplyDeleteHatari hii noma pesa za CAF zipo wapi?
ReplyDelete