April 11, 2019


Yanga 3-2 Kagera Sugar
FT

Paul Ngalema Goool dakika ya 32 kwa Kagera Sugar

Kassim Khamis Goooool kwa Yanga ( alijifunga dk ya 35)

Heritier Makambo Goooooool kwa Yanga dk ya 47

Kassim Khamis  Gooooooool kwa Kagera Sugar dk ya 54

Thaban Kamusoko Gooooool kwa Yanga dk ya 73

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga iliyo chini ya Mwinyi Zahera na Kagera Sugar iliyo chini ya Mecky Maxime unaendelea leo, Uwanja wa CCM Kirumba.

Mpaka sasa kipindi cha pili Kagera Sugar walianza kuongoza kwa kufunga bao dakika ya 32 lililofungwa na nahodha Paul Ngalema baada ya kona kupigwa dakika ya 32.

Dakika ya 35 Yanga wanasawazisha bao kupitia kwa Kassim Khamis wa Kagera Sugar ambaye amejifunga.

Kipindi cha pili Yanga wameaza kwa kasi ambapo Heritier Makambo anaadika bao la pili akitumia pasi ya Kelvin Yondani dakika ya 47.

Kassim Khamis anaisawazishia timu yake dakika ya 54 ndiye aliyeisawazishia Yanga kipindi cha kwanza.

Dakika ya 74 Thaban Kamusoko anaiandikia bao la tatu timu yake kwa kupiga faulo iliyozama wavuni.

Ushindani ni mkubwa kwa kila timu kutafuta pointi muhimu leo, mchezo ni wa nguvu kwa wachezaji wote wakihaha kutafuta matokeo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic