April 21, 2019


Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, ametaja utofauti wa makocha Mwinyi Zahera wa Yanga na Patrick Aussems wa Simba.

"Tofauti ya kocha wa mpira na kocha wa Sunsumia au kibao kata unafungwa unawapongeza wa shindi na kukubali mapungufu yako angekuwa yeye!!!

Waamuzi wanatuonea mimi nimefundisha ulaya mika Arobaini (Ukigogle huoni timu alizo fundisha zaidi ya kufundisha kucheza Ndombolo na Mayenda) oooh Simba inabebwa leo Fei Toto hawakuvaa boksa na hawajala toka juzi!!!

"Ila akishinda sasa ninafuu kupiga gitaa kuliko Diblo na ile fasi ya putuluu imekuja na Ndege na ndio mana sisi wa Congo tunapendwa na madada wa kibongo .

Kocha mzuri huzungumzia vitu Technical na sio Riwaya kwa mahawala wako wanao tumia mkorogo wa buku" ameandika Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram.

13 COMMENTS:

  1. chonde Manara kukaa kimya nako ni jibu

    ReplyDelete
  2. ahsante sana kwa kututusi wana yanga

    ReplyDelete
  3. Afuu manara ndio maana watu huwa wanakutusi kwann usiwe kana dismas

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dismis ? Dismis Ten aliishambulia Simba na kuwanadi Vita itawapiga 8 - 0. Wote hawa wanaropoka, ndio utani tulieni zamu yenu ikifika na nyie mtasema

      Delete
  4. Nashindwa kuelewa manara ni msemaji au ila hayo one day yatakuja kukushinda ni vibaya mno kudharau professional ya mtu hujui yeye anawaza nn sometimes utan uishie kwa niny wasemaj na sijui kama manara na zahera wana utan kama huo

    ReplyDelete
  5. Kwangu dismas ten nae ni msemaji?

    ReplyDelete
  6. Ingelikua makocha wote wanaongea kama zehera ingelikuwa kazi kwelikweli

    ReplyDelete
  7. Kocha unakua na heshma na unaangalia professional yako zaid

    ReplyDelete
  8. Manara anastahili kushitakiwa kwa haya matusi ya mtandaoni

    ReplyDelete
    Replies
    1. Manara ameongea ukweli unaouma, ila nido ukweli.

      Delete
  9. Na huu ndio ukweli mtupu.Yeyote anayebisha aweke timu alizofundisha Ulaya kwa muda wa miaka 20.Mapoyoyo wanakubali chochote anachosema bila kufanya utafiti.Huyo sio kocha ni mhamasishaji tu.

    ReplyDelete
  10. Manara ni Afisa habari(Msemaji) Zahera ni Kocha, Manara kazi yake kusema na analipwa mshajara kwa kazi hiyoo,, Zahera Sasaa,, badala atulie kupambana na Patrick Aussen anapambana na Manaraaa..😂😂😂

    ReplyDelete
  11. Manara ni Afisa habari(Msemaji) Zahera ni Kocha, Manara kazi yake kusema na analipwa mshajara kwa kazi hiyoo,, Zahera Sasaa,, badala atulie kupambana na Patrick Aussen anapambana na Manaraaa..😂😂😂

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic