April 2, 2019





Simba wamepata maombi ya wachezaji wapatao 100 wanaopendelea kuichezea timu hiyo.


Msemaji wa Simba, Haji Manara amesema wachezaji wanaotaka kuichezea Simba wanatokea ndani na nje ya Tanzania.


“Tena wengine wameandika barua wakionyesha kuwa na nia ya kuja kuichezea Simba. Lakini kuna utaratibu maalum wa benchi la ufundi ndio wanajua wanamhitaji nani,” alisema.


Kwa sasa, Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara ndio timu yenye mvuto zaidi kutokana na kufanya vizuri zaidi katika Ligi ya Mabingwa Afrika.


4 COMMENTS:

  1. Chukuwa wote tuwe na kikosi kipana zaidi ya mara kumi

    ReplyDelete
  2. Na wamgapi wampeleka maombi yao kwa yule anayeiyapiza Simba ishindwe?

    ReplyDelete
  3. Na wangapi wamepeleka maombi kama hayo.kwa yule.anaeiapiza simba ishindwe?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic