April 6, 2019


Straika mkongwe wa TP Mazembe Rainford Klaba amesema kuwa wamejipanga vyema katika mchezo wao wa Kesho dhiddi ya Simba katika hatua ya Robo Fainali michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kalaba amesema kuwa mchezaji wanae muhofia na kumuangalia kwa makini ni Clatous Chama mwamba Lusaka kutokana na uchezaji wake.

3 COMMENTS:

  1. Simba inaitisha Africa kwasababu ina watu wa fitina za mpira ndio maana inafika mbali na ina watu wanaojua maana ya maandalizi kabla ya mechi ina watu wajanja wa mji tofauti na Yanga....wapole wapole wasiojua fitina za mpira watu waliojifunza soka ukubwani wasio na mbinu za ushindi ukichangia na Kutokuwa na pesa

    ReplyDelete
  2. Lakini haimtishi Zahera atayezidai point zake kumi alizoibiwa hata ubingwa uwe wa yanga

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dah japo sometimes hutaki kucheka lkn unalazimika kucheka.Hizi pointi kumi alizoibiwa ni mechi zipi maana hata sielewi sielewi.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic