April 16, 2019


WACHEZAJI wa Coastal Union wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa kesho dhidi ya Simba huku wakiongozwa na mkongwe ndani ya kikosi hicho, Athumani  Idd 'Chuji' utakaochezwa Uwanja wa Mkwakwani.

Kocha wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema wamejipanga vizuri kuwakabili wapinzani wao hivyo wanaomba sapoti ya mashabiki.

Simba tayari imeshatia timu mkoani Tanga kwa ajili ya mchezo wao huo wa ligi huku hesabu zao zikiwa ni kutafuta pointi tatu ugenini.

Coastal Union ipo nafasi ya nane baada ya kucheza michezo 32 ikiwa imejikusanyia pointi 41 huku Simba wakiwa wamecheza michezo 22 wana poiti 57 wakiwa nafasi ya tatu.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic