April 19, 2019


Siku kama ya leo, Aprili 19, mwaka 2000, nchini Philippines, ndege ya shirika la Air Philippines safari namba GAP 541, Ilianguka jijini Samal, Devao del Norte, ikijitayarisha kutua ambapo iliua watu 131. Ilikuwa imeondoka jijini Manila saa 11: 30 ikianza safari ya maili 600 kuelekea kusini-magharibi mwa Manila.

Mbali na Tukio hilo Mnamo Mwaka 1982 siku kama ya leo, Aprili 19 tena, serikali ya Marekani ilitangaza kupiga marufuku wananchi wake kufanya safari za utalii na kibiashara kwenda Cuba, ikidai Serikali ya Cuba inaendesha hujuma katika nchi za Amerika ya Kati.

TAZAMA VIDEO HII

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic