Manara hapa anakosea tena sana.Livepool ana uwezo wa kula sahani moja na Barcelona na kupata matokeo chanya hasa ukichukulia yakwamba Liverpool anaanza ugenini. Si hivyo tu bali Liverpool kwa sasa wapo vizuri.Kwa busara tu ningemuomba Manara kutengua kauli yake ya kijinga kabla hajaazirika.

ReplyDelete