April 24, 2019

1 COMMENTS:

  1. Hebu tuache kudanganya watu , Solihull Moors haipo daraja la kwanza ipo National League ambayo ni sawa na daraja la nne chini ya Premier League. ambapo baada ya EPL kuna Championship halafu League One , League Two baadae ndio National League ambalo anachezea huyo jamaa. na uki google kwa wanaongoza kwa ufungaji magoli kwenye ligi ya daraja analochezea yeye ni mtu wa saba akiwa na magoli 14 tu wa kwanza ni mchezaji kutoka team inayoitwa Fyde akiwa na magoli 27 , kwa team yake ya Solihull Moors yeye ndie anayeongoza , sasa mkiwa mnatoa habari jaribuni kutoa habari za kweli sio kuwaburuza WaTanzania

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic