April 9, 2019


Ligi Kuu bara imeendelea jana katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza kati ya Yanga dhidi ya African Lyon ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-0.

Licha ya Ushindi huo Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera, amesema timu yake inashindwa kucheza mpira mzuri licha ya kupata matokeo mazuri kutokana na ratiba kuwa karibu na timu kusafiri muda mrefu jambo linalofanya wachezaji kuchoka.

3 COMMENTS:

  1. Zahera kwanini usiandike barua na kufanya malalamiko yako official? Kuanza kuzungumza na vyombo vya habari haisaidii

    ReplyDelete
  2. Zahera anaujua mpira,Mimi cjawahi kuckia man u au Barcelona et inaandka barua ikilalamikiabjambo fulan linalokwenda tofauti,wao mitandao ya kijamii pmoj na press na waandishi ndo wanapotolea malslamiko na message zao co km Simba sports hiyo ni zilipendwa ndo maana Kila team ina page yake

    ReplyDelete
  3. Wewe wacha ujinga. Upeleke malalamiko kwa social media?
    Husikii timu kubwa zikilalamika kwa sababu haikubaliwi kinanuni.
    Ukiwa na malalamiko unaandika official letter tena kama ni CAF au FIFA lazima barua ipitie TFF au chama cha mpira cha Nchi inayohusika.
    Ukizungumza hovyo hovyo unapigwa faini au unapewa touchline ban kama ni kocha.
    Usizungumzie usichokijua.Kanuni hiyo ya kutoropoka hovyo inabidi ianzishwe ili wanaoropoka waache.
    Kocha anayejua kazi yake hawezi kusema nimeibiwa pointi 10 .

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic