Wananchi mbalimbali wametoa hukumu yao baada ya Nahodha wa Timu ya Simba, John Bocco kukosa penati katika mchezo wa hatua ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.
Wananchi wamepata fursa ya kutoa maoni yao na nini wanafikiria baada ya nahodha huyo wa Simba kukosa penati katika mechi hiyo muhimu.
Simba ilitoka sare ya bila kufungana katika mchezo wa Hatua ya Robo fainali iliochezwa juzi Jumamosi katika dimba la Taifa jijini ar es Salaam.
Messi anazikosa ngapi?mpaka kombe LA dunia anazikosa!
ReplyDelete