April 7, 2019


WAKATI Simba ikihaha na kukosa ushindi jana Uwanja wa Taifa, timu ya Al Ahly ya Misri imekubali kichapo cha mabao 5-0 dhidi ya Mamelodi Sundowns.

Kichapo hicho ni kikubwa kutokea hivi karibuni kwa kikosi hicho cha Waarabu ambacho kina rekodi nzuri kwenye ligi ya Mabingwa ambapo hatua ya makundi waliinyoosha timu ya Simba kwa mabao 5-0.

Sasa Al Ahly watalazimika kushinda kwa mabao 6-0 ili kupenya mbele kwenye hatua ya nusu fainali kutokana na idadi hiyo ya mabao ambayo wamebebeshwa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic