Kikosi cha Simba Queens kimeibuka na ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Yanga Princess katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake.
Magoli ya Simba yamefungwa na Opah Clement (2), Mwanahamisi Omary, Joele Bukulu na Amina Ramadhani.
Bao pekee la Yanga Princess likifungwa na Fausta Thomas.
Katika mchezo wa raundi ya kwanza Simba iliibuka pia na ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya watani zao.
Tunawafunga wanaume,wanawake,vijana nä hata ikiwepo timu ya watoto tunawafunga tu.Migongo wazi maneno matupu.
ReplyDeleteDuh hamsa....ngoja waje watueleze kulikoni?
ReplyDelete