May 16, 2019


Mwenyekiti wa Yanga Mshindo Msolla, amesema kuwa mchezaji wa timu yao Heritier Makambo aliondoka na Kocha Mwinyi Zahera kufanya vipimo vya afya.

Msolla ameeleza hayo kutokana na Makambo kuonekana na mabosi wa Horoya ya Guinea akiwa amevishwa jezi zao na tayari kashaini mkataba wa miaka mitatu.

Taarifa hiyo zimeleta sintofahamu kwani Msolla ameeleza kuwa endapo Makambo angefaulu vipimo vya afya alipaswa kurudi nchini ili kuja kufanya mazunguzo na timu husika.

"Ni kweli Makambo aliondoka na Mwalimu Zahera juzi kwa ajili ya kufanya vipimo vya afya, na tulikubaliana akikamilisha atarudi ili tufanye mazunguzo".

CHANZO: EFM RADIO

13 COMMENTS:

  1. safi kabusa....msijali Tuyisenge anakuja

    ReplyDelete
  2. Utawaambia nini wanayanga wewe Mwenyekiti.....lakini si ana mkataba na Yanga?....nyie viongozi wapya mtafukuzwa na bakora....hamuijui Yanga

    ReplyDelete
  3. Lakini ni mchezaji wa kawaida mno...

    ReplyDelete
  4. Ndio kumuabudu Zahera Huko si mnaona anavoiuza Yanga na sasa mumkabidhi hayo mabilioni yakununuwa wachezaji wakuja kuifunga Simba

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  6. Uongozi huu mpya usiporudisha furaha ya wanayanga kwa kufanya usajili wiki hii moja au mbili hautadumu, wanachoka na machungu na kudhihakiwa mtaani kila habari inayotoka inawaumiza wamechoka maneno tutafanya, tuko kwenye mchakato au Ninategemea kusajili, hayo maneno matupu na ahadi hewa, hakuna kinachofanyika mnajenga chuki kubwa mioyoni mwa nafsi zao...........wanayanga sio wavumilivu watazileta fito na bakora!! Wakikumbuka kilichotokea mwaka 1975....Kwahiyo UJUMBE MFANYE USAJILI WIKI HII LASIVYO KUNA FUKUTO LINAENDELEA....VURUGU KUBWA INAKUJA!!!!

    ReplyDelete
  7. Very average striker to say the truth..many local players are still better than him in his position..A one touch striker...nothing else...even our own uncle Ngasa can hold the ball better than makambo

    ReplyDelete
  8. Maandamano makubwa ya wanachama wa Yanga kuupinga uongozi mpya kwa jinsi wanavyoanza kuwaumiza wanayanga yanukia

    ReplyDelete
  9. Uongozi Bora.Kila la Kheri Yanga

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic