Ripoti zilizosambaa kwa kasi hivi sasa mitandaoni zinaeleza kuwa klabu ya Horoya AC kutoka Guinea imemsajili mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo.
Straika huyo Mkongo amejiunga na miamba hao ikiwa haijulikani namna alivyoondoka Yanga mpaka kufikia maamuzi hayo.
Ripoti zimesema kuwa Horoya wameingia mkataba wa miaka mitatu na mchezaji huyo.
Ooooooh¡!!mtambo wa mabao pale jangwani unaelekea kuyumba sasa...Bila shaka yanga itashusha kifaa cha 40goals kwa msimu ujao
ReplyDeletesafi saana Yanga...ndiyo madara ya kucheleweshea wachezaji mikataba na mishahara... fukuzieni Tuyisenge sasa
ReplyDeleteSi mzuri saana huyo makambo....ila kwa klabu kama Yanga alionekana mzuri
ReplyDeleteUtawaambia nini wanayanga wewe Mwenyekiti.....lakini si ana mkataba na Yanga?....nyie viongozi wapya mtafukuzwa na bakora....hamuijui Yanga
ReplyDeleteChezea Zahera wewe anauma na kupulizia na watani zetu wanamuona mfalme kumbe jamaa yuko kibiashara zaidi.Mfukuzieni kizee chetu Bocco.
ReplyDeleteMMH BOCCO ? HANA MPANGO NA YANGA.
DeleteJamaa alikuwa na hamu na Uzi mwekundu
ReplyDeleteKazi Kama bado ana mkataba na yanga hawezi kusaini Club ingine unless otherwise
ReplyDeleteHskuna haha ya panic, si kapewa uhuru Zahera kuchaguwa wachezaji anaowataka wa bei wanayoitaka, ikiwa WA nje au WA ndani au ilikuwa hiyo ni janja kwaonesha nyota wenu kuwa hela ipo wasijekuingia mitinini,?
ReplyDeleteYANGA BUANAA WANA BALAA ETI BADO WANA MATUMAINI YA KUCHUKUA UBINGWA WA LIGI YA TPL. WAMEBAKIZA MECHI 2 WANA POINTI 83. SIMBA INA POINTI 85 IMEBAKIZA MECHI 4. SASA NAJIULIZA SIMBA HUYO NI SIMBA MZEE WA KUFUGWA AU SIMBA NAYEMJUA MIMI ANAYEWINDA MSITUNI? WEE MAKAMU MWENYEKITI CHONDE CHONDE USIWAPE MATUMAINI MASHABIKI WA YANGA JIPANGENI KWA MSIMU UJAO HUU WA SASA MBONA UMEISHA. SIMBA BINGWA.
ReplyDeleteUongozi huu mpya usiporudisha furaha ya wanayanga kwa kufanya usajili wiki hii moja au mbili hautadumu, wanachoka na machungu na kudhihakiwa mtaani kila habari inayotoka inawaumiza wamechoka maneno tutafanya, tuko kwenye mchakato au Ninategemea kusajili, hayo maneno matupu na ahadi hewa, hakuna kinachofanyika mnajenga chuki kubwa mioyoni mwa nafsi zao...........wanayanga sio wavumilivu watazileta fito na bakora!! Wakikumbuka kilichotokea mwaka 1975....Kwahiyo UJUMBE MFANYE USAJILI WIKI HII LASIVYO KUNA FUKUTO LINAENDELEA....VURUGU KUBWA INAKUJA!!!!
ReplyDeleteBila ya Shaka Mutaalam Zahera kawekewa fungu kubwa juu ya meza na kawavuga viongozi kuwa atarejea baada ya siku change na ati maelekezo you're kamwachia msaidizi wake bila ya kuweka wazi Kwa uongozi sababu ya safari yake ya gafla na kuiwacha Yanga wako panic kuutaka ubingwa na huku ikitajwa kukabidhiwa mabilioni ya kuijenga kikosi
ReplyDeleteMaandamano makubwa ya wanachama wa Yanga kuupinga uongozi mpya kwa jinsi wanavyoanza kuwaumiza wanayanga yanukia
ReplyDeleteKajilipa pesa yake alizowapa wachezaji yanga
ReplyDeleteZahera almsajili makambo kwa hela yake bwana so shda iko WAP kumuuza wana chura fc
ReplyDelete