May 25, 2019

8 COMMENTS:

  1. Asikudanganye yoyote, Hakuna WA kumtetemesha Simba mwenda kimya bila ya majisifu

    ReplyDelete
  2. Hakuna kitu mbwembwe za walala hoi

    ReplyDelete
  3. Shame on you. Mmekosa hata picha ya kuweka hadi mnaweka mwanamke, Kgatlana. Uongo utawamaliza. Wekeni vitu vyenye uhalisia.

    ReplyDelete
  4. Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza na Simba mwenda kimya ndie alae nyama, walinena WA kale. Hahaha Nani wakumtetemesha mfalme WA misitu

    ReplyDelete
  5. Mungu atuewke hayi tukione hicho kikosi cha kumtetemesha Simba. Zahera uza nyota ujilipe mishara yako lakini Kwa ubingwa mtaungojea Sana mpaka vijukuu vizeeke

    ReplyDelete
  6. Kipindi hiki tutaona na kusikia mengi.

    ReplyDelete
  7. Simba wana chuki!

    Mpira siyo vita!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic