KUMEKUCHA!! ROSTAM AZIZ AJITOSA KUMWAGA MABILIONI YANGA - VIDEO
Bilionea Maarufu hapa nchini Rostam Azizi imeelezwa kuwa amekusudia kuisaidia Yanga misaada ya kifedha pale inapowezekana.
Hii inakuja siku chache tu baada ya Yanga kufanya uchaguzi na kupata viongozi wapya chini ya Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla na makamu wake Frederick Mwakalebela aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania TFF.
Pamoja na Kwamba Rostam ana hela, sidhani kama anaweza kuisaidia Yanga kama wengi wanavyofikiria kwasababu Rostam siyo mtu wa Mpira! ni tofauti kabisa na MO.
ReplyDelete