Ligi Kuu Tanzania Bara leo inafika tamati ambao mbivu na mbichi kwa timu zitakazojinasua kubaki ligi kuu zitajulikana leo ukiachana na Lyon ambayo tayari imeshuka daraja.
Ratiba ipo namna hii:-
Mtibwa Sugar v Simba, uwanja wa Jamhuri saa 9:00 alasiri
Yanga v Azam FC, uwanja wa Taifa, saa 10:00 Jioni
KMC v Lyon uwanja wa Uhuru, saa 10:00 jioni
Ruvu Shooting v Alliance, uwanja wa Mabatini, saa 10:00 jioni.
Mbao v Kagera Sugar, uwanja wa CCM Kirumba, saa 10:00 jioni.
Tanzania Prisons v Lipuli, uwanja wa Sokoine saa 10:00 jioni.
Mbeya City v Biashara United, uwanja wa Samora, saa 10:00 jioni.
Coastal Union v Singida United, uwanja wa Mkwakwani, saa 10:00 jioni.
Mwadui FC v Ndanda FC, uwanja wa Mwadui Complex , saa 10:00 jioni.
JKT Tanzania v Stand United, uwanja wa Azam Complex, saa 10:00 jioni.
Leo kuna mechi kumi za kumaliza ligi kuu, kumbuka ligi kuu bara ina timu 20 na timu zote zinacheza mechi zao za mwisho leo;
ReplyDeleteUmesahau mechi mbili;
Mwadui FC v Ndanda FC, uwanja wa Mwadui Complex , saa 10:00 jioni
JKT Tanzania v Stand United, uwanja wa Azam Complex, saa 10:00 jioni