May 13, 2019






 FT: Simba 0-0 Azam FC
Uwanja wa Uhuru

Kipindi cha pili zimeongezwa dk 4

Abarola anaonyeshwa kadi ya njano dk ya 90  Dk 70, Bocco anaingia anatoka James Kotei.

Bruce Kangwa anaonyeswhwa kadi ya njano dk ya 62 kwa kumchezea rafu Kagere.

Emmanuel Okwi wa Simba anaonyeshwa kadi ya njano dk ya 59 kwa kosa la kumchezea rafu mlinda mlango wa Azam.

Azam FC wanafanya mabadiliko Ramadhan Singano anatoka anaingia Dany Lyanga dk ya 53.

Kipindi cha pili kimeanza sasa Uwanja wa Uhuru.

Kipindi cha kwanza zimeongezwa dakika mbili.

Simba wamepiga jumla ya kona 10 huku Azam wakipiga jumla ya kona 3.

Joseph Mahundi anaonyeshwa kadi ya njano dk ya 20 kwa kumchezea rafu Chama.

Obrey Chirwa mwenye mabao 3 TPL kwa sasa anaonyeshwa kadi ya njano dk ya 15 kwa kumchezea rafu Nyoni.

MPIRA unaoendelea kwa sasa Uwanja wa Uhuru ni kati ya Simba dhidi ya Azam Fc uwanja wa Uhuru.


Mchezo wa kwanza Azam FC ilipoteza kkwa kufungwa mabao 3-1 mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa, hivyo leo ni ngoma nzito.

Kwa sasa ni kipindi cha kwanza hakuna aliyeona lango la mwenzake kwa timu zote mbili

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic