May 28, 2019


Ile ya ishu ya dili la mchezaji Ibrahim Ajibu kwenda TP Mazembe ya Congo kufeli limetolewa ufafanuzi na uongozi wa Yanga baada ya kuleta mjadaa mzito.

Kwa mujibu wa Kaimu Katibu wa klabu ya Yanga, Omar Kaya, ameibuka na kusema TP Mazembe walikiuka taratibu za kumtaka mchezaji kwani walifanya mazungumzo naye binafsi.

Kaya ameeleza kuwa viongozi wa Mazembe walikosea kutokana na njia waliyotumia kuwasilisha ombi lao ambalo walimtumia mchezaji binafsi badala ya mchezaji.

"Unajua ukiwa katika taasisi kubwa kama Yanga Mazembe walikosea kutuma maombi.

"Wao walishindwa kuwasiliana nasi kama klabu na badala yake wakamfuata Ajbu pekee.

"Sasa katika kuonesha ueledi walipaswa kutufuata sisi Yanga lakini tumeshangaa tena baadaye tunaona taarifa ambayo imesambaa mitandaoni kuwa wameshindwa kufikia naye mwafaka".

8 COMMENTS:

  1. Kwani wakala wake mwalimu Zahera si ndie aliempeleka Mazembe? Mbona nyie Yanga jamani mnajikanyaga mno.

    ReplyDelete
  2. Na ile barua ilitumwa kwa nani?yanga bhana!

    ReplyDelete
  3. Shida ni kuwa yanga hapa wana tamaa ya kujipatia vipesa na wanajaribu kujihusisha nae Kwa nguvu zao kama ndio wakala wake na huku muda wake upo ukingoni kabisa ni aibu mwacheni si mtoto yatima

    ReplyDelete
  4. Yanga wanajikosha wazungumza hivyo wakijuwa Ajib siyo mali yao..Huyo ni mali ya Simba.>>>Subirini mzigo una load soon will see what up.

    ReplyDelete
  5. We mwandishi acha story za kutunga. Yanga ina katibu mkuu haina kaimu katibu mkuu. Issue ya Ajib katibu mkuu Mwakalebela alishaliongelea na kutoa ufafanuzi, acheni story za uzushi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwakalebela sio Katibu Mkuu wa Yanga. Fredtick Mwakalebela ni Makamu Mwenyekiti wa Yanga

      Delete
    2. Mwakalebela sio Katibu Mkuu wa Yanga. Fredrick Mwakalebela ni Makamu Mwenyekiti wa Yanga

      Delete
  6. KAHAYA SWAL ILI MULIZENI KOCHA WENU BWABWAJA KWANI ANASEMA SANA, NA HUKUMBUKE AJIBU ALIKUA ANAWEZA KUZUNGUMZA NAO KWANI MKATABA HANA TENA HAPO JANGWANI.KAMA YA NONDA SHABANI.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic