May 25, 2019


LIGI Kuu Bara inatarajiwa kufika tamati, Mei 28 ambapo siku hiyo imetangazwa rasmi kwa bingwa Simba kukabidhiwa kombe akiwa mkoani Morogoro uwanja wa Jamhuri.

Pia siku hiyo ndiyo itakuwa hatma ya kujua timu ambayo itaungana na African Lyon kushuka daraja kutokana na timu zote zilizo kuanzia nafasi ya 12 kupishana kwa alama chache.

Ratiba ya mwisho itakuwa namna hii:-

Mtibwa v Simba, Jamhuri.

Yanga v Azam, Uhuru.

Coastal Union v Singida, Mkwakwani.

Mwadui v Ndanda, Mwadui Complex.

JKT Tanzania v Stand United, Isamuhyo.

Ruvu v Alliance, Mabatini.

Mbeya City v Biashara, Samora.

Mbao v Kagera Sugar, Nyamagana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic