Msipende kuongea kitu usicho kijua ili mladi tu umecoment. Jana MO Dewji kasema Simba sc bado kuanza suala la usajili na wata anza wiki ijayo.. sasa hizi habari ni za kuuza magazeti na muwe makini nazo! Boss jana kasema karibia asilimia 60 ya wachezaji wa simba sc mikataba yao in run out! Vile vile karibia asilimia 80 ya wachezaji wanao watafuta nje ya nchi mikataba yao pia ina run out! Ukiangalia hivyo ndio maana simba hawana presure kwenye usajili ni kama wanataka kuna baadhi ya wachezaji wajitoe wenyewe tu!
Hao watahitaji mishahara Yao kama ilivokuwa Kwa Kakolanya au siyasa ni ileile ya akidai fukuza
ReplyDeleteKwani wamekwambia wamewasajir bure acha ulopolopo ya yanga waachie wao siyo kila kitu ukoment
DeleteMsipende kuongea kitu usicho kijua ili mladi tu umecoment. Jana MO Dewji kasema Simba sc bado kuanza suala la usajili na wata anza wiki ijayo.. sasa hizi habari ni za kuuza magazeti na muwe makini nazo! Boss jana kasema karibia asilimia 60 ya wachezaji wa simba sc mikataba yao in run out! Vile vile karibia asilimia 80 ya wachezaji wanao watafuta nje ya nchi mikataba yao pia ina run out! Ukiangalia hivyo ndio maana simba hawana presure kwenye usajili ni kama wanataka kuna baadhi ya wachezaji wajitoe wenyewe tu!
Delete