OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa kesho ni fainali ya kibabe kwao watapambana kuwapapasa wapinzani wao Alliance.
Akizungumza na Saleh Jembe, Bwire amesema kuwa wanajua utakuwa ni mchezo mgumu ila kwa kuwa wapo nyumbani ni lazima sera ya Papasa Square ijibu.
"Tupo kwenye nafasi mbaya na ili kujiondoa kwenye nafasi hii lazima Papasa Square ijibu, hivyo wapinzani wetu wajiandae tu maana tumejipanga," amesema.
Ruvu Shooting ipo nafasi ya 18 inapambana kutoshuka daraja, Alliance wapo nafasi ya 9 wana uhakika wa kubaki TPL.

0 COMMENTS:
Post a Comment