May 6, 2019

1 COMMENTS:

  1. Kila la kheri Yanga ila timu bila ya uwekezaji wa muekezaji wa maana msitarajie miujiza yeyote ya mabadiliko ya klabu yenu. Msijidanganye Yanga kufika kileleni kwa kutegemea hisa ndogo ndogo za wanachama wake. Ingekuwa rahisi hivyo basi waengereza ambao kipato chao cha mtu mmoja mmoja cha wanachama wa klabu zao ni kikubwa zaidi ya kipato cha mwananchi wa Tanzania by far lakini wameshindwa kuziendesha timu zao kwa mafanikio mpaka kwa nguvu ya uwekezaji wa wawekezaji wa maana tena wengi wa wawekezaji wa timu za Uengereza sio waengereza au wazawa kwani kuna warusi, warabu, wathailand,wahindi,wamerekani nakadhalika. Kinachotakikana hapa ni maendeleo ya klabu kufikia malengo yake. Hayo masuala mengine ni kama porojo za vijiweni.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic