BAADA YA KUMTANGAZA MAKAME, YANGA YATUMA UJUMBE WA TAHADHARI SIMBA
Kutoka Young Africans
Salamu za pole zifike kwa timu yoyote itakayokaa mbele yetu: tutashambulia 'kiroho mbaya', ukiweka ugoko tunaweka chuma, tukitoa bunduki tunaingiza bomu.
Abdulaziz Makame, karibu Yanga, hongera kwa kujiunga na Mabingwa wa kihistoria.
Duuuuuh! Kweli maneno haya msije mkayajutia... Mkitoa Bomu mnaingiza mini! Kweli Wananchi mnavijimaneno!
ReplyDeleteKawaida ya vyura F.C Maneno mingi mno kabla ya kuvuka mto.
ReplyDeleteWatajuta!!!
ReplyDelete