June 4, 2019

6 COMMENTS:

  1. ndomana chura wanasajili kwafujoooh

    ReplyDelete
  2. Muashukuru simba kuwapeleka kimataifa vyura

    ReplyDelete
  3. maskini aibu! walivyokuwa wakienda Taifa kushabikia Nkana, Al Ahly, AS Vita na TP Mazembe! Ila neema kwani viingilio vyao viliiongezea Simba mapato wakati wakitembeza kopo

    ReplyDelete
  4. Zuhura upoooo washukuru Simba uliokuwa unawaongopea eti wanapuliza dawa kwenye vyumba vya wachezaji wa timu pinzani

    ReplyDelete
  5. Kisa cha mashabiki wa Yanga kushangilia timu ngeni zidi ya Simba tunapaswa kuamka watanzania nakuacha kuwachekea watu ambao wanahujumu jitihada za watanzania wanaopambana kwa ajili ya maslahi ya Taifa.Tukienda huko kunako siasa ndio kumeoza kabisa kwani kuna malimbukeni yanayoishi nje ya Tanzania wao kazi yao ni kuwatakia viongozi wa nchi mabaya kila kukicha licha ya jitihada za kujitoa muhanga za viongozi wetu kuhakisha nchi yetu inasonga mbele.Hawa watu sio wanaharakati wa Demokrasia bali ni wanga na wachawi kwa ustawi na maendeleo ya nchi yetu na ni wa kupigwa vita na kupingwa kwa nguvu zetu zote.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic