Mwambieni aache Usengerema Simba ni Kampuni na mwekezaji akitoka anatafutwa mwekezaji mwingine anaendelea. Azungumzie gongowazi na atafute njia ya kujikwamua kiuchumi acahananeni kutembembeza bakuli.
Simba ni Mali ya Mo mwenye hisia 49 vipi aikimbie Mali yake na Yanga Pia ingekuwa katika Neema kubwa law ingemimkubalia kManji lakini mlimkatalia wenyewe. Kauli za kumtakia mabaya ndugu yako Zinaitwa hasad zinadhuru sana na Hakuna dini yoyote inayokubali hayo na matokeo yake ni kuzidi kuanguka na kufisidika na kuhasirika mwenye Mawazo mabaya. Ukimuona mwenzio kafanikiwa inajuzu kabisa kusema nawe unatamani Mungu akujaalie kama yeye lakini unajisumu unapoomba imuondoke Neema ambayo kajaaliwa na Mungu. Yupo jamaa mmoja alisononeka mpaka kufariki dunia na kisa ilikuwa baada ya kusikia mafanikio ya jirani yake basi na Saha ni kumtakia mema ndugu yakona hapo nawe atakuteremshia Neema Pia.
Manara daima yumo katika kampeni ya kuijenga timu yake ama huyu anayeitwa Ten yeye humsikii kabisa kutoa tamko kuisifu kuisifu au kuifanyia kampeni timu lugha yake chafu anayotamka ni kuilani Simba kwahakika ni . karaha Sana sijui nini kazi yake ndani ya kuendelea yanga. Maendeleo ya Simba yameipa sifa kubwa Sana nchi yetu hata nao wakafaidika kupata nafasi bila jasho na badala ya kushukuru anmekuwaa akiilani Simba. Kumuona Ajibu anarudi Simba hawa jamaa utafikiri kichaa Hadi kufika Kwa mama yake.Simba inawaombea duwa yanga wasishindwe kulipia gharama kubwa Sana za wachezaji ili daima wawe changamoto Tosha Kwa timu za nyumbani kunyanyuwa viwangi
Kwani ten amewaombea mabaya?,mnakwama wapi mikia nyie yeye kaoneeha wasi wasi Kama akiondok amewaza kwa sauti huyo baba mwenye hati,jmn msipingane na ukweli mo ndo kila kitu mlisota miaka mingap bila kunyanyua kwapa,ata nyie mnahofu akiondoka acheni kibri mumsaidie kupata hati alaaaaaaaah
Kwa mwaka jana Simba ilipochukua ubingwa kulikuwa na MO Dewji? Mimi naonelea Dismas Ten ahangaikie kukiimarisha kikosi chao na timu yake kuwa na mawazo yakinifu ya kufika mbali siyo kuona mwaka 2022 wa Simba. Wenyewe mwaka 2022 watakuwa wapi? Hebu saa hizi tufocus kwa ushiriki wa Yanga kwenye michuano ya klabu Bingwa itafanya nini katika Afrika kama vile Simba amefikia hapo?
Mwambieni aache Usengerema Simba ni Kampuni na mwekezaji akitoka anatafutwa mwekezaji mwingine anaendelea. Azungumzie gongowazi na atafute njia ya kujikwamua kiuchumi acahananeni kutembembeza bakuli.
ReplyDeleteSimba ni Mali ya Mo mwenye hisia 49 vipi aikimbie Mali yake na Yanga Pia ingekuwa katika Neema kubwa law ingemimkubalia kManji lakini mlimkatalia wenyewe. Kauli za kumtakia mabaya ndugu yako Zinaitwa hasad zinadhuru sana na Hakuna dini yoyote inayokubali hayo na matokeo yake ni kuzidi kuanguka na kufisidika na kuhasirika mwenye Mawazo mabaya. Ukimuona mwenzio kafanikiwa inajuzu kabisa kusema nawe unatamani Mungu akujaalie kama yeye lakini unajisumu unapoomba imuondoke Neema ambayo kajaaliwa na Mungu. Yupo jamaa mmoja alisononeka mpaka kufariki dunia na kisa ilikuwa baada ya kusikia mafanikio ya jirani yake basi na Saha ni kumtakia mema ndugu yakona hapo nawe atakuteremshia Neema Pia.
ReplyDeleteRoho inawauma sana MO kuwepo Simba especially kipindi hiki ambacho vyuma vime-jam. Mtaomba sanaaaaaaaa
ReplyDeleteManara daima yumo katika kampeni ya kuijenga timu yake ama huyu anayeitwa Ten yeye humsikii kabisa kutoa tamko kuisifu kuisifu au kuifanyia kampeni timu lugha yake chafu anayotamka ni kuilani Simba kwahakika ni . karaha Sana sijui nini kazi yake ndani ya kuendelea yanga. Maendeleo ya Simba yameipa sifa kubwa Sana nchi yetu hata nao wakafaidika kupata nafasi bila jasho na badala ya kushukuru anmekuwaa akiilani Simba. Kumuona Ajibu anarudi Simba hawa jamaa utafikiri kichaa Hadi kufika Kwa mama yake.Simba inawaombea duwa yanga wasishindwe kulipia gharama kubwa Sana za wachezaji ili daima wawe changamoto Tosha Kwa timu za nyumbani kunyanyuwa viwangi
ReplyDeleteKwani ten amewaombea mabaya?,mnakwama wapi mikia nyie yeye kaoneeha wasi wasi Kama akiondok amewaza kwa sauti huyo baba mwenye hati,jmn msipingane na ukweli mo ndo kila kitu mlisota miaka mingap bila kunyanyua kwapa,ata nyie mnahofu akiondoka acheni kibri mumsaidie kupata hati alaaaaaaaah
ReplyDeleteombaomba fc mbona hamna jipya na ww ten umeponea chupuchupu kutemwa mwehu usiyejua hata kupromot timu yake ,
ReplyDeleteKwa mwaka jana Simba ilipochukua ubingwa kulikuwa na MO Dewji? Mimi naonelea Dismas Ten ahangaikie kukiimarisha kikosi chao na timu yake kuwa na mawazo yakinifu ya kufika mbali siyo kuona mwaka 2022 wa Simba. Wenyewe mwaka 2022 watakuwa wapi? Hebu saa hizi tufocus kwa ushiriki wa Yanga kwenye michuano ya klabu Bingwa itafanya nini katika Afrika kama vile Simba amefikia hapo?
ReplyDeleteProtas-Iringa
ni wivu wa kisenge
ReplyDeleteongelea changamoto zenu
ReplyDeleteShenzi kabisa!Kwanza haondoki!Pili Simba ni Simba sio Yanga ya Manji
ReplyDeleteMimi nafikiria Sana aliyoyaandika ni kupigia kijembe timu yake
ReplyDeleteMjinga huwa hafichi aibu yake.Wewe upo uchi unamhofia mwenye nguo.Ajabu.
ReplyDelete