NI SIMANZI!! TARMBA AFIWA NA MTOTO WAKE MWINGINE USIKU HUU
Ndugu zangu, mtoto wangu mwingine Aliasgher Tarimba Abbas, amefariki muda huu.
Maziko kesho saa 12.30 katika Msikiti wa Shia Ithnaasheri mjini
Karibuni tumsindikize mtoto wetu.
Na Tarimba Abbas
Innalellay waelleyrajioun
ReplyDeletejamani jamani ugonjwa unafanyiwa mzaa huku unatuumiza
ReplyDelete