Alichokiandika Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten kuhusiana na Katibu Mkuu wa CECAFA Nicholas Musomye juu ya kauli yake dhidi ya Yanga.
Musonye ameibuka na kusema kuwa kujitoa kwa Yanga kwenye michuano ya KAGAME hakuna madhara yoyote kwani hata wasiposhiriki hawataweza kupunguza wala kuongeza lolote.
huyu babu binafsi kanikera mno, wale wanaopgwa 5 co yanga sema uzee unamchukua vibaya
ReplyDeleteHIVI MUSONYE NI KATIBU "WA MUYAYA" PALE CECAFA?
ReplyDelete"WA MUYAYA" MAANA YAKE WA MILELE.