HAJI MANARA AWACHANA YANGA, ASEMA SIMBA NDIYO IMEWAPELEKA CAF CHAMPIONS LEAGUE
Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, kuhusiana na kutoka kwa nafasi nne kwa timu za Tanzania kushiriki mashindano ya kimataifa Nafasi hizo zimetolewa na Shirikisho la Soka Afrika CAF
Waambie so mambumbu
ReplyDeleteWasi wasi kwa bodi ya ligi na upangaji wa ratiba yao kwani Simba moja pekee viporo vilikaribia kuoza vipi leo tuna timu nne nadhani ligi itabidi isimame?
ReplyDeletetunatumaini wataacha unafiki na wao hata wakipata nafasi ya viporo hawatavilaza!
ReplyDeleteviporo vya simba vilizidi, wkt kpnd kile yanga ana viporo vi4 simba aligoma kucheza hadi yanga amalize, tuna nn cc watz! mbona kama tunasahau haraka hv?
ReplyDelete,wew hujui kuwa yanga ndo ilikuwa ya kwanza kushiriki Mara tatu mfululizo na kufika hatua ya makundi shirikisho micm miwil iliyopita? Acha domo kuliweka wazi hivo ukiwa mlopokaji jitahidikuwa na ufahamu wa usemacho. Sheet.
ReplyDeletePumba tupu! Mara tatu mfululizo mlisaidia nini! Ni hatua gani mlisaidia kwa soka la TZ! Kufananisha nako kumbe ni mtihani usiofaulika! (Mara tatu makundi hakuna mafanikio) lakini (Mara moja hadi Robo Fainali, kumesaidia mamburula nyinyi ambao hamkuwa na ndoto ya Kimataifa na mlishapigwa kikumbo na Wanapaluhengo, mmeingia, halafu mnakuwa hamna shukrani!, mbona wenzenu KMC wameishukuru Simba kiroho safi tu).
DeleteYanga kashiriki mara tatu mfululizo klabu bingwa Africa wakaiwezesha Tanzania kuvuna point 3 katika takwimu za CAF zinazotumika kupandisha viwango vya soka barani Africa.lakini ushiriki wa Simba mara hii umeiwezesha Tanzania kuvuna point 15 hivyo 15+3 =18 zikaipaisha viwango Tanzania.Utaona jinsi gani mafanikio ya timu moja yanavyotegemeana kupata fursa kwa wote.
ReplyDeletekmc labda akashukuru yeye sio yanga yetu maana sie kushiriki hata wakiacha kutujumuisha mwaka huu mwakan tutaenda tu, liwake jua inyeshe mvua
ReplyDelete