IJUE 'PROFILE' NZIMA YA MEDDDIE KAGERE, KUZALIWA, ELIMU, KAZI, MABAO YAANI NI BALAA TUPU
Meddie Kagere ni mshambuliaji wa timu ya Simba SC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mshambuliaji huyo raia wa Rwanda, amezaliwa Oktoba 10, 1986 nchini Uganda.
Kagere ambaye alijiunga na Simba msimu wa 2018/19 akitokea Gor Mahia, msimu wake wa kwanza ndani ya timu hiyo umekuwa na mafanikio makubwa sana.
0 COMMENTS:
Post a Comment