SI BONGO TU, YAJUE MAKOSA SITA YA MUVI ZA MAREKANI, WAHUSIKA HAWAKUYAGUNDUA - VIDEO
Kama ulidhani bongo muvi pekee ndiyo zinamakosa kwenye production zake, loh unakosea sana,
Kwani hata muvi za kimarekani HOLLYWOOD, BOLLYWOOD na zile za Korea zinamakosa ambayo si rahisi kuyabaini.
Hii leo nakuletea orodha ya muvi 6 zenye makossa ambayo yatakushangaza sana kutokana na waongozaji wake kushindwa kuyabaini kirahisi.
0 COMMENTS:
Post a Comment