June 14, 2019


IMEELEZWA kuwa baada ya uongozi wa timu ya Polokwane FC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini kufeli kuipata saini ya nahodha wa Simba, John Bocco, sasa wamegeuza kibao kwa kumtaka nyota mwingine akazibe nafasi ya Bocco.

Habari zimeeleza kwamba baada ya Uongozi wa Polokwane kushindwa kuipata saini ya Bocco sasa wamezungumza na uongozi wa Simba ili kuipata saini ya Adam Salamba.

 Hivyo kama mambo yatakwenda sawa huenda mchezaji Salamba akatimkia kukipiga Polokwane FC.

3 COMMENTS:

  1. Kama ni habari za kweli aende I see. Kwa Simba nadhani ameshashindwa kabisa kuonyesha kiwango. But inatakiwa apewe ushauri na ajengwe kisaikolojia kabla ya kwenda. Itapendeza akifanikiwa majaribio kisha aonyeshe kiwango na kuwa tegemeo kwenye team hiyo. Faida pia kw a nchi ikizingatiwa bado ana umri mrefu wa kucheza soka.

    ReplyDelete
  2. Hatafuzu majaribio huyo ruka ruka tu

    ReplyDelete
  3. Uwongo mtupu taarfa zako 90% n za kubuni andika vitu vyenye uhakika bax cc siyo mabwege kaka

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic