June 14, 2019

9 COMMENTS:

  1. Asante sana Zuhura, kocha mkuu umeisaidia Simba kwa ujeuri wako!

    ReplyDelete
  2. Ameisaidia simba kwa lipi!? Simba haina shida ya mlinda mlango maana wote wliokuwepo ni bora. Sema kakolanya ndo kajichimbia kaburi maana hatoonekana msimu mzima. Unatokaje kwenye ubora na naenda kuwa no 3? Wachezaji wa kibongo wanatakiwa kujitambua!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pesa....Pesa ...kilichomkimbiza Yanga ni Pesa na alichokimbilia Simba ni Pesa ...soka ni Pesa na pesa ndio sabuni ya roho.Hata ukikaa benchi na pesa ya uhakika inaingia kuna tatizo gani???

      Delete
  3. Kuna wakati Dida huwa simuelewi vizuri, acha wakapambane

    ReplyDelete
  4. dida alikuw akipa mzir sana enzi yupo yanga akadengua kwedna simba kaw abenchi sana anaka golini wakat manuala mgonjwa ua enjur ila hana namba kabisa na kakolanya nae yatamkuta kama ya dida anaend akuua kipaji muda utaongea wachezaji wa bongo hawjaielewi kabisa

    ReplyDelete
  5. Ahsante sana kakolanya ni golikipa mzuri tena mzuri sana kwa kucheza mipira ya krosi kitu ambacho Manula kinamtatiza kidogo.kwa kakolanya Simba imeramba dume. Kitu kingine ninachotaka kuwasisitiza viongozi wa Simba kama ujumbe utafika ni kumfuatilia machezaji au kiungo wa AFC Leopards ya Kenya aliependekezwa na Marcel Kaheza. Kwanza ni kumshukuru kaheza kwa kufanya kazi ya uskauti kwa ajili ya Simba. Na kwakuwa alikuwa ni mchezaji mwezake na kukubali bila ubishi kuwa kiungo huyo ana uwezo hasa na akitua Simba basi yawezekana ikawa ndio muarubaini wa tatizo la kiungo msimbazi. Nadhani wamerahisishiwa kazi kilichobaki ni ufuatiliaji tu.

    ReplyDelete
  6. BENCHI TU HUYO ANA LENGO LA KUHARBU KPAJ CHAKE.

    ReplyDelete
  7. Kakolanya karibu sana Sana Simba na tunakupokea Kwa mikono miwili na Mungu atakuwa pamoja nawe uzidi kunyanyua kipaji na usahau machungu yako

    ReplyDelete
  8. hao wanaokejeli usajili wa Kakolanya kuja Simba watakuwa ni mashabiki wa Yanga tu!Karibu Kakolanya Simba, na Zahera ulifanya vizuri sana kusaidia Kakolanya kuondoka Yanga..Hapa utalipwa stahiki zako kwa wakati na maradufu ya ulichokuwa unapata Yanga!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic