MOHAMED Salah kwenye michuano ya Afcon ambayo inatarajiwa kuanza Juni 21 anashika namba moja kwa mastaa wanaokipiga Premier League.
Anapeperusha Bendera ya Misri ameanza kuitumikia timu ya Taifa mwaka 2011 na mpaka sasa amecheza jumla ya mechi 62 na amepachika mabao 39.
VICTOR Wanyama anapewa namba mbili kwa mastaa wanaokipiga Premier Leagu
Sadio Mane
Riyad Mahrez
Christian Atsu
Wilfried Zana
Alex Iwobi
0 COMMENTS:
Post a Comment