June 13, 2019


EDEN Hazard mchezaji wa Real Madrid ambaye leo ametambulishwa rasmi baada ya kukamilisha utaratibu wa uhamisho kutoka kikosi cha Chelsea amesema kuwa kuna utofauti mkubwa kati ya Premier League na La Liga.
Hazard amesema kuwa utofauti upo ila hafikirii kama kuna ligi ambayo ni bora kuliko nyingine.
"Premier League na La Liga ni vitu viwili tofauti lakini sifikirii kama kuna ligi moja ambayo ni kubwa kuliko nyingine.
"Kuhusu jezi namba 10 mimi sina tatizo na namba ya jezi ninachofikiria ni kazi tu hamna jambo jingine kwa sasa," amesema.

1 COMMENTS:

  1. Kila la heri jembe letu daima the blues tutakukumbuka sana!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic