Mechi zote za leo za Playoff zimekamilika kwa timu zoe kutoshana nguvu huku wote wakitamba kupata matokeo mchezo wa mwisho utakaochezwa Juni 8 mwaka huu.
Mechi za mwisho ndizo ziakazoamua timu ambayo itapanda daraja ama kubaki kwenye ligi kati ya Mwadui ama Kagera kubaki TPL ama Geita na Pamba kupanda msimu ujao.
FT: Pamba SC 0-0 Kagera Sugar, uwanja wa Nyamagana Pamba walikuwa wenyeji.
FT: Geita Gold FC 0-0 Mwadui FC, uwanja wa Nyankumbu Girls ambao Geita walikuwa wenyeji.
0 COMMENTS:
Post a Comment