SIMBA IJAYO NI BAB-KUBWA ZAIDI, MBADALA WA OKWI AFUATWA NA WAKALA WA KAGERE
Klabu ya Simba iko hatua za mwisho za kumsainisha mkataba mshambuliaji wa klabu ya Police FC ya Uganda, Juma Balinya mwenye umri wa miaka 27.
Balinya alikuwa mfungaji bora wa ligi ya Uganda kwa sasa yupo kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Uganda.
Taarifa zinasema kuwa tayari Simba wametuma mtu wao ambaye ameambatana na wakala wake Patrick Gakumba kwenda Abu dhabi.
Gakumba inaelezwa ameelezwa kila kitu juu ya kuhakikisha mchezaji huyo anatua Simba na dalili zikionesha anaweza akawa mbadala wa Emmanuel Okwi ambaye taarifa zinasema anaweza akaondoka muda wowote Simba.
Waache Simba waendelee na kasi hiyo hiyo ya kufuatilia wachezaji na niwapongeze Yanga kwa kasi ya kusaini wachezaji.
ReplyDeletewacha mihemko.Kila timu inafuata maelekezo na ripoti ya benchi la ufundi.
Deletekama benchi la ufundi la Yanga limeamua kusajili wachezaji wapya zaidi ya 15 hivyo unailazimishaje Simba isajili kama Yanga?Mwisho wa siku matokeo yataamuliwa uwanjani.
Haistahiki kama Yanga kwasababu Simba imesheheni tokea mwanzo na kazi ya sasahivi ni kuziba viraka tu au kama nyumba kuitia rangi izidi kungara
ReplyDeleteYanga inaanza kujenga msingi, simba ishapaua tena vigae vya south.
ReplyDeleteIla nimeshtuka kama ni kweli simba wanamtaka Shamte. Mbona kama tunabomoa timu unampoteza okwi na juuko afu unasajili shamte na forward timu yake inapambana ishishuke daraja
ReplyDeleteSHAMTE NI MZAWA ANASAJILIWA KAMA MCHEZAJI WA NDANI. OKWI AMEGOMA KUSAINI MPAKA BAADA YA AFCON KUMALIZIKA!
Delete