June 4, 2019


MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ambaye ni nahodha Mbwana Samatta amesema kuwa nizamu ya Taifa Stars kupeperusha Bendera kimataifa kutokana na nafasi waliyonayo.

Akizungumza na Salehe Jembe, Samatta amesema kuwa wanatambua wana kazi kubwa ya kufanya kwenye michuano ya kimataifa hivyo watafanya juu chini kupata matokeo chanya.

"Tunajua ushindani ni mkubwa na kila timu inapigia hesabu kupata matokeo chanya, tunatambua utakuwa ushindani mkubwa na tutafanya vizuri,kikubwa ni sapoti," amesema.

2 COMMENTS:

  1. Sijaona mpangilio wowote wa maana wa kuiwezesha stars kufanya vizuri kule Misri wacha tusubiri na tuone. Licha ya umasikini wetu kweli tumeshindwa kuipeleka timu ya Taifa angalau ulaya ya mashariki kwa mechi za kujipima nguvu?

    ReplyDelete
  2. Basi mechi za kujipima nguvu hata hapa nyumbani haikuezekana, ikiwa Yanga na Simba imewezekana Kwa timu yetu ya taifa ni muhali?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic