July 1, 2019


BEKI mpya wa Yanga ambaye kwa sasa yupo na timu ya Taifa nchini Misri, Ally Mtoni 'Sonso' amesema kuwa ana imani ya kufanya makubwa msimu ujao ndani ya kikosi chake kipya.

Sonso amesema kuwa kwa namna anavyomtambua beki mkongwe Kelvin Yondani itakuwa ngumu kwa wapinzani kupita ukuta wa Yanga.

"Natambua uwezo wa Yondani ndani ya Yanga, hivyo uwepo wangu ndani ya kikosi utafanya tuwe na kikosi kipana na itakuwa ngumu kwa washambuliaji kupita ukuta wetu, hivyo ni jambo la kusubiri na kuona," amesema Soso ambaye amejiunga na Yanga akitokea Lipuli.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic