PATRICK Wawa, beki kisiki wa Simba ameongeza kandarasi ya mwaka mmoja kuendelea kuitumikia timu yake.
Wawa alikuwa miongoni mwa wachezaji waliotwaa kombe la Ligi Kuu Bara msimu wa 2018/19 hivyo anarejea kuendelea kuongoza kazi ya ulinzi ili kutetea taji tena msimu ujao.
0 COMMENTS:
Post a Comment