July 30, 2019


Beki wa kushoto wa Manchester United na Ufaransa Patrice Evra ametangaza rasmi kustaafu soka la ushindani.
.
Beki huyo mwenye miaka 38 aliichezea Ufaransa jumla ya michezo 81, kabla ya kufikia tamati kwenye upande wa soka akiwa mchezaji alipitia kwenye vilabu kama Monaco, Manchester United, Juventus, Marseille na Westham United.

Kwa sasa Evra ana leseni ya daraja B ya ukocha kwa UEFA na malengo yake makubwa kwa sasa ni kuchukua leseni ya daraja A la UEFA.

Akiwa ndani ya United alikuwa chini ya Meneja Alex Ferguson ambaye alimkubali kutokana na juhudi zake na alitwaa makombe 10.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic