July 5, 2019

2 COMMENTS:

  1. Kwa usajili wanaoendelea kufanya Simba lazima watu wachapishe na kusambaza makala za kimihemko. Simba na Mo kamili ngado na wenye mihemko na makala zenu za kifitina na feki mtateseka sana mwaka huu.

    ReplyDelete
  2. Jmani kwan MO Kshasema anaondoka Simba mbona ninyi waandishi mnavuruga mambo? mjueni hizi club mbili zina watu wengi andikeni vichwa vya habari vinavyoendana na makala zake, msivuruge tazameni Simba pekee ilivyoleta mabadiliko kwenye soka hasa ,ngazi za vilabu imeingiza vilabu vinne badala ya viwili. Je tukipata na club nyingine moja tena ikafika robo nyingne hata nusu huoni tutakuwa tunazungumzia mambo mazuri kisoka? msivuruge kwa taarifa zenu. Tanzania labda vilabu vitubebe lakin hao mnaopigania mpaka mnawapa viwanja hapo ni mwisho wetu hakuna mabadiliko mpaka tena miaka hamsini sawa salehe usituvuruge

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic