IMEELEZWA kuwa kambi ya timu ya Simba msimu huu itakuwa nchini Afrika Kusini kuanzia Julai 15.
Mtendaji Mkuu wa Simba, Cresentius Magori amesema kuwa mpango wa kuweka kambi ni maalumu kwa ajili ya kukiaanda kikosi vema kwa ajili ya michuano ya kimataifa na Ligi Kuu Bara.
"Afrika Kusini tunakwenda kuweka kambi, kuanzia Jumatatu wachezaji wanatakiwa kufika kambini na wale wa nje wanatakiwa kuripoti mapema ili kuanza kushughulikia masuala ya visa," amesema.

0 COMMENTS:
Post a Comment