July 7, 2019


ROMELU Lukaku, staa wa Manchester United anawaniwa na klabu mbili kubwa ambazo zinahitaji kuipata saini yake kwa ajili ya msimu ujao.

Juventus na Inter Milan zipo kwenye mapambano kuipata saini ya nyota huyo anayecheza nafasi ya ushambuliaji.

United ipo tayari kumuuza Lukaku ila haipo tayari kumtoa kwa mkopo nyota wao huyo ambaye Inter Milan walikuwa wanamtaka kwa mkopo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic