Magazeti yanatumika "kuwahadaa"watanzania wakawa na matumaini potofu kuwa timu zetu Zinaweza kufika mbali katika mashindano ya kimataifa eti kwakuwa imeifunga Moro kids, Atn na Tanzanite magoli 7, 2 na 10. Ukweli ni kwamba timu zetu bado sana....tusijipe matumaini ya kipuuzi....hali halisi ni kuwa yanatakiwa maandalizi ya hali ya juu...na kucheza mechi za kirafiki na timu zenye ubora wa juu ili kutambua mapungufu ya timu....Azam na KMC pekee ambao walienda Kagame Cup wao kwa asilimia 60% wamefanya angalau maandalizi yanayoeleweka. Simba pia wameweka kambi mahali sahihi....wasiwasi umebaki kwa Yanga

ReplyDeletewe kuponda tu kila siku hivi umejiandaaje kwanza na maisha yako ngedere wewe...!!
Deletehttp://www.rollersfc.com/rollers-defeat-kaizer-chiefs/
DeleteAngalia wenzako wanavyojiandaa hii ndio preseason trials hakuna kuleta visingizio mkitolewa