July 1, 2019


MWENYEKITI wa Yanga, Dr. Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji amewateua wajumbe 10 kuunda Kamati mpya ya Fedha na Mipango.

Orodha ya walioteuliwa ndani ya Yanga kwenye Kamati hiyo hii hapa:-

Arafat Haji nafasi ya Mwenyekiti.

Shija Richard nafasi ya Makamu Mwenyekiti.

Deo Mutta yeye ni Katibu.

Kwa upande wa wajumbe ni pamoja na :- Said Kambi, Ally Mayay, Pindu Luhoyo, Baraka Katemba, Suma Mwaitenda,Haruna Batenga na Ivan Tarimo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic