ISSA Bigirimana mshambuliaji wa Yanga leo ameibuka shujaa wa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga na Mawezi Market baada ya kufunga bao pekee la ushindi lililodumu mpaka mwisho wa mchezo.
Mchezo huu wa kirafiki umechezwa leo uwanja wa Jamhuri na ubao wa matokeo umesoma Yanga 1-0 Mawezi Market.
Huu unakuwa mchezo wa tano kwa Yanga kucheza na yote wameshinda na leo walikuwa na kocha wao Mkuu Mwinyi Zahera ambaye tayari amesharejea nchini.
Tunitayarishe Kwa kucheza na timu zenye viwango vya Hali za juu kwasababu tunakwenda kucheza na mabingwa na wala sio vichekecheya
ReplyDelete